Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,416
- 7,655
Hili jibu nimelipenda sanaSefikaaa tume waachia vijana
Hili jibu nimelipenda sanaSefikaaa tume waachia vijana
Superrr beautiful😍😍😜, aiseee ni ukwaju tu huo🙄 ndo una fanya ngozi iwe hivyo😁😁😁Sefikaaa tume waachia vijana
Nikeshe kuchat Jf ili huku mtaani niishie police 😅😅Ko full kukimbizana mtaani ehh😁🤣View attachment 2696056
mi sioni kama ni shida😂 labda asiweke tenaNani ana mchezo huo🙄, na kwanini ule ndizi ya mwenzio🙄😁.
👉Japo sijui ngeli, nahisi ana maanisha hivyoo😂🤣
Kwa kweli majukumu yamebana mpaka sura ukipiga picha inakataa 😅😅Hili jibu nimelipenda sana
Dah ko wazee wa kausha damu wakifata rejesho, full kuruka ukuta😁😁.Nikishe jf kuchat ili huku mtaani niishie police 😅😅
Kaka nime jutaa😂🤣🤣😐, dah ka bando ka mchongo kame shake😂japo sijaifungua MB 3.5😬
ila nzuri😂
Jana wamekuja nimewambia wamenifananisha na pacha mwenzangu sio mimi aisee walinijazia watu mtaani😕😀😀😀Dah ko wazee wa kausha damu wakifata rejesho, full kuruka ukuta😁😁.
👉Na kuvaa kininjaaa😁
eti kameshake😂Kaka nime jutaa😂🤣🤣😐, dah ka bando ka mchongo kame shake😂
Hata hivyo umri ukiongezeka mtu unapunguza showoff za kitoto ujueKwa kweli majukumu yamebana mpaka sura ukipiga picha inakataa au unakusaliti [emoji2312][emoji28][emoji28]
Mafuta ya nazi na kunywa maji mengi❤️Superrr beautiful😍😍😜, aiseee ni ukwaju tu huo🙄 ndo una fanya ngozi iwe hivyo😁😁😁
Ni upumbavu ukiwatukana oh una adabu sasa akisha mtumia anafaidika nini kanikwaza sanakawaida mzee mi mwenyewe niligundua kitambo😂
Signal strength ime weka, un recognized 😁🤣😂😂eti kameshake😂
vunga tu, kama vipi usipost tenaNi upumbavu ukiwatukana oh una adabu sasa akisha mtumia anafaidika nini kanikwaza sana
Endeleza hivyoo hivyoo, umfu dishe na mdogo ako Aaliyyah 😁.Mafuta ya nazi na kunywa maji mengi❤️
Mtaje jina mi nimpe makavu, Nina vibe la kudiss masnitch 😎Ni upumbavu ukiwatukana oh una adabu sasa akisha mtumia anafaidika nini kanikwaza sana
Dah unafiki huu😂😁😁mi sioni kama ni shida😂 labda asiweke tena