Selfika na JF: Snap it. Show it

Aahh sasa hiyo mbona ni kawaida tu, watumishi wengi wanaoendeshwa kwenye hayo magari ambao walihamishiwa dodoma na wana familia zao dar, huwa wanasafiri sana na mahousegirl na mahouseboy wao humo kwenye hayo magari
Najua unanionaga na nafuu kichwan, ebu nifanye mpangoo dada yanguu.. 😊😊😊
 
Nje naonaga kama unataka kupata exposure.. Ila life bongoo tuuu. Ingawa nilikuwa kina kipindi napenda Sana maisha yangu nimalizie U.K
Mazee kwenda kwenye nchi kama UK, Canada au Marekani kuna faida zake nyingi mno tu. Jambo la msingi ni kujenga daraja la kwenda na kurudi utakavyo. Sema tatizo wabongo tuna kawoga fulani hivi ambako siyo powa na kanaturudisha nyuma.
 
Sure, kingine sie wavivu wa kusaka information. Ila kama Una taarifa zote muhimu na ukajipanga unaenda huko... Sehemu inayobakia moyoni mwangu nje ya Tanzania huwa ni United Kingdom... Hayo maneno mawili tu ndio naweza nikaishi na kufurahia maisha yangu..
 
Mm naenda keshokutwa nikupitie😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…