Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha mdogo wangu hivi kiswahili ulipataga ngapi shuleni, si nimetoka kusema hapo kwamba Boss wangu yuko serikalini so obviously hilo gari ni lake, mie huwa nalipanda nikiwa nasafiri naye tu [emoji2][emoji2]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
House girl unatumia LC300, nifanye mpangooo life limenichapaaaa

The Boy Wonder umeona sasa kwanini napishana na huyu dada yangu... Anafuata upepo Tu wa boss ndani ya chuma cha moto
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
House girl unatumia LC300, nifanye mpangooo life limenichapaaaa

The Boy Wonder umeona sasa kwanini napishana na huyu dada yangu... Anafuata upepo Tu wa boss ndani ya chuma cha moto
Halafu LC300 lenyewe ni Twin-Turbo....
Kwakweli mchwa chake ni kichuguu, milima waachie ngedere....
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
House girl unatumia LC300, nifanye mpangooo life limenichapaaaa

The Boy Wonder umeona sasa kwanini napishana na huyu dada yangu... Anafuata upepo Tu wa boss ndani ya chuma cha moto
Aahh sasa hiyo mbona ni kawaida tu, watumishi wengi wanaoendeshwa kwenye hayo magari ambao walihamishiwa dodoma na wana familia zao dar, huwa wanasafiri sana na mahousegirl na mahouseboy wao humo kwenye hayo magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…