National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Namkumbuka sana huyo mwambaaa π π πDaah, kumbe unamkumbuka π€£
Ukikua utavikuta totooπ΄auntie unantamanishaπ
Haya Tumoghele sisi tupo hapa, tunasubiri uzi wa malalamiko tu....Nitaacha kaka nimeacha kuanzia sasa
Ukitoka wew na mshamba_hachekwi nafata mieeeeHello Darlin g
Usisahau kuselfika best
na wewe utaselfikaππππ
We jamaa bana
Selfika tukuone
Na linaniumiza balaa, njoo unisaidie kulitoa πAsante mremboππ
Ila hilo emoj linakuumiza kichwa
Nakuja chapNa linaniumiza balaa, njoo unisaidie kulitoa π
Kulalamika nini tena mkuuHaya Tumoghele sisi tupo hapa, tunasubiri uzi wa malalamiko tu....
π π π Mapigo niliyopigwa vijana wa sasa hivi hawezi niingiza kingi.. sanasana mie nitawanyoooaaa.. kubwa zaidi kuna mmoja alishanipiga $1200 kutokea hapo nikapata haitakaa itokeee nikapigwaaa tenaaa.. na najua nitamkatakaaa sijaisemehee hiyo hela nitamla kwanzaaaBwahaha, mazee pole sana. Nacheka kama mazuri vile, naona na wewe uliliwa kichwa.....
Ndio, naiandaa hapana wewe utaselfikaπ
yangu kwa yako
πmhuni unaniruka saa hiiUtapataaa laaana kijanaaa π π
No kiswahiliSio wa historia
Daah, kumbe unamkumbuka π€£
π π π Lenie ndio anajua kama mie muhuni au unanichafua kisiasaπmhuni unaniruka saa hii
Alichokutana nacho bwana HB akiwa anafanyiwa waxing...Kulalamika nini tena mkuu
Kama unakuja na vocha ndio nitafunguaNakuja chap
Ebu fungua pm nije
Haookuja kutokeaAlichokutana nacho bwana HB akiwa anafanyiwa waxing...
Wewe ni kijana mnyenyekevu kabisaπ π π Lenie ndio anajua kama mie muhuni au unanichafua kisiasa
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bagoshaaa! Mimi mpaka ukanitoa pesa mfukoni aisee, wewe basi utakuwa unakaribia kufa. Hivi unanitoaje dola 1200 kiwepesi kabisa ? Unaanzia wapi ?π π π Mapigo niliyopigwa vijana wa sasa hivi hawezi niingiza kingi.. sanasana mie nitawanyoooaaa.. kubwa zaidi kuna mmoja alishanipiga $1200 kutokea hapo nikapata haitakaa itokeee nikapigwaaa tenaaa.. na najua nitamkatakaaa sijaisemehee hiyo hela nitamla kwanzaaa