Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Wewe sijui unakwama wapiHahahaha
Yah ila duh nilisikia.sauti moja tu yeeee yeee watu wamekuja pale top mpka nikajiuliza hawa watu wametoka wapinenda nao kwa upole aisee ni wakorofi
ALWAYS!!!! Yani ni wewe tu na mood yako!Jikoni si kupo wazi lakini?ππππ
Yaani amepika ndizi nyama
Ngoja nijikaze Nile hivyohivyo,njaa isije kuniua.
Shemeji shikamoooo
Tege na kashape flani amazing!!!π
Hakikisha mtoto wa mama mkwe hana upara π€£π€£Ahhh hili lipozi naliiba!!!π€©π€©
Pilau tamu linaonekana πππUhhhhh!!! The cake looks extra yummy!!ππ
Kweli huwa inachosha...labda itokee uwe umemiss sana pishi lako mwenyewe!!π₯΄
Njoo tule pilau sasa.....
View attachment 2692308
Pika kesho nije kulaPilau tamu linaonekana πππ
Sijui lini nipike jamani
ππππShemeji shikamoooo
Seriously??Ila leo ulizidish maji
SawaPika kesho nije kula
Akija avae pensi π₯°πππππ
Siku ntamleta humu aitikie shkamoo yake!π
ππππHakikisha mtoto wa mama mkwe hana upara π€£π€£
Kwakweli...maana mgeni mwenyewe ka ππΎ ππΎ πPilau tamu linaonekana πππ
Sijui lini nipike jamani
Sijawahi kumuona amevaa π€π€Akija avae pensi π₯°π
Ahahahah mimi napenda wali unyoooke wenyewe wanasema kuwa imechambukaSeriously??
Nyie ndo wale mnapikia watu wali/ pilau linatafunikaa kama mchele, kiini + ugumu kama wote
Nyama ziwe nyingiSawa
Usisahau fanta
Kukwama nini? Mie nawatazama nyie msio kwamaWewe sijui unakwama wapi