Ndugu yake nani kama sio babe wakeJamani Lee
Hebu tuone kama aliyekuteka hajakudhuru.
Vale sijui ametekana wapi na ndugu yake Wigelekelo
Wameamua wote kujitekaNdugu yake nani kama sio babe wake
Nmekutumia pmWameamua wote kujiteka
Lee nasubiri nikuone ati
Nataka hapahapaNmekutumia pm
Nywele huwa zinakua saa ngapi?

Mie sijawahi sijabahatika kuzionaPicha zangu zimetapakaa humu kama makopo jalalani😂
Hata ya zamaniSina mpya
🤣🤣🤣🤣Nywele huwa zinakua saa ngapi?
Juzijuzi tu ulikuwa umenyoa![]()
Hii chombo si mchezo,imeumbika haswa
😊😁😁Hii chombo si mchezo,imeumbika haswa
Unastahili SIFA
Za zamani sijafutagaHata ya zamani
Pembeni nimenyoa, za juu ndo nasuka.



DahMpk nizitafute nakuzipata si kazi kubwa sana hiyoZa zamani sijafutaga
Zipo humuhumu
Amejiziba Tena
Sawa , tuliosoma cuba tunaelewa