Selfika na JF: Snap it. Show it

Karibu upige kazi Tena saiz tumevuna mahindi uje upigwe vumbi hapa warehouse
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nyie mmevuna, home ndo badoo nawaza kuingia msituni, Yale majani yanavowashaa woiiii
 
Nashangaaaa hapo na mieee, lini? Wapi? Saa ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nyie mmevuna, home ndo badoo nawaza kuingia msituni, Yale majani yanavowashaa woiiii
Ila ugali si mtamu ? Hahah wazaz wakakufanyie baby shower ya karibu mtaani utawashwa mpaka nanihii
 
Hichi ni ki cute sana acha nikae nacho kwanza πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Labda nikutafutie kingine. πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Vibaya hivooo ankooo!! !!!
Iko kingine kiwe kama ikoo yani hivohivoo!
 
Antonnia πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”Š

Kumekucha huku. 🀣🀣🀣
Naona naona Kumekuchaa na makucha yakee ankooo samalekoo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…