Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]

Eti ungezaa mwaka juzi.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi zaa mwaka huu ili awe anatembea mwaka kesho kutwa!!![emoji846]
Dah
Yaani hadi akatembee siyo leo[emoji24]
Mwaka juzi uleule nilichelewa tu[emoji24]
Ningekuwa namtuma vitu saahizi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa hujuii.nguo.
 
Kwa kweli na unipe maujuzi ya kutoboa life LA kitaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha nikuweka kadegree kako pembeni jioni nakunywaga kahawa na mh Alli hapi siku hizi mkulima huku hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…