8 hrs?? mara ya mwisho mimi kulala hayo masaa sikumbuki ilikuwa mwaka gani aisee,, hongera mno kwa kuzingatia masaa ya kulala.. mi huulizwa nalala masaa mangapi juu nachelewa kulala then nawahi kuamka!!
πππ
Yuko bize sana hana muda wa kupangilia vizuri maneno.
Kuna tweet zake zingine watu tunatoka kapa baadhi ya maneno tunafanya ku-assume tuπ€£π€£