Selfika na JF: Snap it. Show it

Alikuwa anakubalika san, watu wakamwambia hakuna kuwasha gari, wakalisukuma mpaka uwanja wa zimani moto🤣 na bado hakushindaaa
Uncle wangu ananipaga stori Mrema alikujaga Shy hiyo 95 kwenye kampeni.Baada ya kupiga kampeni jioni wakajisogeza hoteli kuanza kugawana vyeo .Yeye alipewa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga,kilichompata alikimbilia Dar kubangaiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…