Selfika na JF: Snap it. Show it

Wew Mwalimu kabisa ila nilichogundua Siri ya chapat nzuri ni kuacha ngano Kwa muda hata saa 1 baada ya kukanda
Nilipewa Kaz ya kuwapikia watu 8 chakula nikakanda ngano saa 11 nikarudi kulala nikachelewa kuamka sikuziroll na zimetoka lain ajabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kupika hadi nitake, G nikiendaga kwake utasikia "ukiwepo km haupo sasa ndo nn aaah" namjibu nitue wee kaka mie sio hausigeli wako, na sijaja hapa kukupikiaa, kabla ya kukutana na mie alikua anakupikia nani? Hapo buzzy kuswama mitandaoni sina habari, akipika fastaa nshagoza makalio kulaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwali wangu uvivu 🤣🤣🤣
Ila kupika hobby aisee
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Picha tu dear au sijui sikuhiz nakunywa maji mengi [emoji1787][emoji1787]
Au nawee uko ktk makoro koro ya mafungu? Jero kwa buku kutokana na kipimo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😁🤣🤣🤣🤣! Wee akili yako si unaijua mwenyewe!!
Wanasema mwanaume tumbo kwanza!! Yani ale ashibe sasa wewe na bange zako hizo Siku mtakauka mnazagamuana😂😂☺️!
 
Wew Mwalimu kabisa ila nilichogundua Siri ya chapat nzuri ni kuacha ngano Kwa muda hata saa 1 baada ya kukanda
Nilipewa Kaz ya kuwapikia watu 8 chakula nikakanda ngano saa 11 nikarudi kulala nikachelewa kuamka sikuziroll na zimetoka lain ajabu
Kuacha hata siku nzima.

Chapati hazitaki haraka.

Sasa zile za kukanda na kuchoma hapohapo lazima chapati itoke ngumu.
 
Au nawee uko ktk makoro koro ya mafungu? Jero kwa buku kutokana na kipimo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jero kwa buku Kutokana na kipimo 🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣!

Mbavuuu zanguuu coca pulllllllliiiiiiiiizzzzz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…