Hapana aisee, utani ukizidi sana inakuwa dharau.ndo inavotakiwa😂
mapenzi sio mchezo
😂Usijali, nitakuchek baadae.Jamani nimepigwa kibuti 😥😥
samahani mkuu🙏🏾Hapana aisee, utani ukizidi sana inakuwa dharau.
🤣🤣🤣 Huna mbio wewesamahani mkuu🙏🏾
ngoja nisepe zangu😬
nasubiri ushahidi kwamba nalelewa na jimama😂🤣🤣🤣 Huna mbio wewe
Haya sawa .😂Usijali, nitakuchek baadae.
Kalale kidogo zipungue🙏
Sio kulelewa, ulisema umawaelewa mashangazi zaidi🤣nasubiri ushahidi kwamba nalelewa na jimama😂
Wote wazima dear jr bado hajatoka shule dadake anasomea kwa mshuake masafa marefu!! Usijareee kabesaaa !Ngoja nikitulia nikuangalizie kwa gallery!!Aunt mambo yalikua mengi.
Jr wa me mzima
Na dada ake jeee.
Navotaman kuwaona basi daah
aliyenizidi miaka 1-10 hawezi kua shangazi yangu bana😂Sio kulelewa, ulisema umawaelewa mashangazi zaidi🤣
Unakula pekee yakoKumbe bongo raha hivi...😊View attachment 2686706
Jipe moyo bro🤣aliyenizidi miaka 1-10 hawezi kua shangazi yangu bana😂
Nani kanunua shem TinsleyNakunywa wine hapa 😂😂
Karibu tunywe wote .
Kesho tunakuja na Lenie tutakupeleka wavuvi kempuUnakula pekee yako
Ahahaah fanya kweli mzeeKesho tunakuja na Lenie tutakupeleka wavuvi kempu
Serious ! Kazi ya haosegirl?Niunganishe mimi kwenye kazi ya uhousegirl
Nipo serious.
Niliona ABC wametangaza nafasi ya kazi
Bus hostess.
Jaribu huko.
Gari yao uhakika,Route ya Mbeya ipo na ndio gari ya uhakika siku hizi.
Ndugu zako Sauli wamegeuka matapeli baada ya biashara kuwashinda[emoji1787]
Hiyo Grant's inaniongezea kiu ujue😋W.end nimeanza mapema sana Lenie View attachment 2686699
Hayo ni matumizi mabaya ya mawazo shemeji yangu. Mtoto mzuri kama wewe mawazo yanatoka wapi😂Ah mwenyewe shem
Napunguza mawazo hapa .
Antonnia ,a.k.a OdoWote wazima dear jr bado hajatoka shule dadake anasomea kwa mshuake!! Usijareee kabesaaa !Ngoja nikitulia nikuangalizie kwa gallery!!