Selfika na JF: Snap it. Show it

Aliekuroga nae alikuwa amerogwa sio bure [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mlongoo emu niwachee.

Sijarogwa mie, wakati nakuja Dar watu walijua mzaliwa na mkulia wa huku kumbe walaaa, kujaa kuwaambia nakotokea acha wabishee.

Sasa nikawa naongea kile kilugha cha ndani ndani ndo wakawa wana amini.
 
Reactions: 511
🤣🤣 Sawa kamwali
Nawaelewa sana kitandani hamna malingo, ni mwendo wa kususa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…