Hatareee sana shouzz, ndo nkaamini kuwa nmenenepaa asee.Hongera sana udugu akee nasubiria hio blessing kwahamuu!
Na kishepu chako Utakua umenougaaaa balaa![emoji7]
Hapo ukimaliza ukapata kazi ndio utanenepa balaaa!!Hatareee sana shouzz, ndo nkaamini kuwa nmenenepaa asee.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Konda kama mimiπNdo mazuriiii, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Sahivi nanenepaa mie.
Hadi nataka nijikondeshee tenaa.
Mdogo wangu hiyo saa siyo nzito kweli?Konda kama mimiπ
Mjep πMdogo wangu hiyo saa siyo nzito kweli?
Uwe makini isikuvunje shingo
Hilo gauni km shamba dress za Advance level, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Konda kama mimi[emoji23]
Huyo anazo nyingii, ninunulie mie kwa niaba yake.Mjep [emoji23]
Naomba nikununulie vocha boss wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua hatariii mbnaa.Hapo ukimaliza ukapata kazi ndio utanenepa balaaa!!
Hebu niacha na gauni langu[emoji23][emoji23][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]Hilo gauni km shamba dress za Advance level, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekumbuka shule au? Wee ni mnene bhanaa.
Wallah shamba dress ya advance level, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu niacha na gauni langu[emoji23][emoji23][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Nilinunua aftatu[emoji1787]
Kijana jinsia yoyote? If yes nakuomba pm hii fursa jobless mie itanifaaWana selfika kama una kijana mwaminifu na anaweza kufanya kazi vizuri yupo tu nyumbani nicheki pm nahitaji vijana kama wa 7 hivi hawa wawe dar na kesho waje ofisini kuanza kazi tutawapa trending kwaza ambayo ndio kesho lakini pia nahitaji vijana walipo tanga wawe wengi kidogo hawa kazi yao itaanza mwezi uhuu kuhusu mshahara tuna lipa kulingana na dodos ambapo huwa zina badirika sisi hatuna mshahara tunalipa wages lakini pia mtu huyo awe na nssf kadi na TIN number kutoka TRA
Please hawe mwaminifu na kazi zetu mara nying ni nje ya mkoa please hawe mwaminifu sito pendezwa nikipata kijana ajae anisumbue au mtu unampa trening af anakimbia mitini nawasilisha kwenu
Duuh hiyo kazi kiboko, tangazo la kazi halina hata job description, limekaa kama zile Amri za "marufuku kutupa taka hapa" [emoji16][emoji16]Wana selfika kama una kijana mwaminifu na anaweza kufanya kazi vizuri yupo tu nyumbani nicheki pm nahitaji vijana kama wa 7 hivi hawa wawe dar na kesho waje ofisini kuanza kazi tutawapa trending kwaza ambayo ndio kesho lakini pia nahitaji vijana walipo tanga wawe wengi kidogo hawa kazi yao itaanza mwezi uhuu kuhusu mshahara tuna lipa kulingana na dodos ambapo huwa zina badirika sisi hatuna mshahara tunalipa wages lakini pia mtu huyo awe na nssf kadi na TIN number kutoka TRA
Please hawe mwaminifu na kazi zetu mara nying ni nje ya mkoa please hawe mwaminifu sito pendezwa nikipata kijana ajae anisumbue au mtu unampa trening af anakimbia mitini nawasilisha kwenu
Khaaaaa ππππππππWallah shamba dress ya advance level, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhan binti wa 4m 6 aliyelala darasani baada ya bweni kufungwa hapo Loleza.
Dadavua kidogo MkuuWana selfika kama una kijana mwaminifu na anaweza kufanya kazi vizuri yupo tu nyumbani nicheki pm nahitaji vijana kama wa 7 hivi hawa wawe dar na kesho waje ofisini kuanza kazi tutawapa trending kwaza ambayo ndio kesho lakini pia nahitaji vijana walipo tanga wawe wengi kidogo hawa kazi yao itaanza mwezi uhuu kuhusu mshahara tuna lipa kulingana na dodos ambapo huwa zina badirika sisi hatuna mshahara tunalipa wages lakini pia mtu huyo awe na nssf kadi na TIN number kutoka TRA
Please hawe mwaminifu na kazi zetu mara nying ni nje ya mkoa please hawe mwaminifu sito pendezwa nikipata kijana ajae anisumbue au mtu unampa trening af anakimbia mitini nawasilisha kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shule nyingi rangi zinakua blue, light blue, na dark blue. Hata tracksuit pia.Khaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Hebu niachie gauni langu la Loleza [emoji174][emoji23]
Tena ndo rangi hii hii
NdioKijana jinsia yoyote? If yes nakuomba pm hii fursa jobless mie itanifaa
AahDuuh hiyo kazi kiboko, tangazo la kazi halina hata job description, limekaa kama zile Amri za "marufuku kutupa taka hapa" [emoji16][emoji16]
Kazi ni interviewerDadavua kidogo Mkuu
Jobless tupo wengi ila tunataka kujua kwanza ni kazi gani