Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,339
- 2,609
Asanteee dear [emoji39]Karibu tule kiporo kesho![emoji846]
[emoji23]Nkamu napenda perfume napenda kunukia napenda nikikaa sehemu mtu ajiulize nimepaka nini!!
Sasa nikimaliza chote we utakula nini....?😁Mwenyeji unakulaa au unashtua minyoo wee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba unapika ugali mdogo?? [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nikimaliza chote we utakula nini....?[emoji16]
Yai la kurostiwa hivyoo, mie siliwezi kwa kweli.Late dinnerView attachment 2686215
Ni tamu ila linakinai harakaYai la kurostiwa hivyoo, mie siliwezi kwa kweli.
Ntakuonyesha kasufuria kangu ka ugali kesho....Kwamba unapika ugali mdogo?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie niliwahi jaribu, nlishindwaa kwa kweliNi tamu ila linakinai haraka
Wallah unioneshee hiyo kesho, awee ugali unapika km unga unakopaa bhanaa, mwenyejii acha hizo.Ntakuonyesha kasufuria kangu ka ugali kesho....
Mdada mrembooo, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Budget ni tight 😅Wallah unioneshee hiyo kesho, awee ugali unapika km unga unakopaa bhanaa, mwenyejii acha hizo.
Nyie hampendi mayai eehMie niliwahi jaribu, nlishindwaa kwa kweli
Ni tamu ila linakinai haraka
Nalo pia ni zuriNyie hampendi mayai eeh
Liliochemshwaa halafu liungwe na nyanya je ?
Tumshukuru Mungu[emoji120]YAKOBO 4:7-8
⁷ Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.
⁸ Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.
HILO NDILO NENO LA MUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app