Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa mkapaaa hapaa, hii match ishaishaa afu mpambano ulikua mkalii sanaa. Uwanjaa umetibuka na kudidimia chini zaidii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeahhh nichopendea huku hali ya hewa dahhh!! Kama ulayaaaa!!!
Afu hiko nilikua sisikii njaa sana Nimerudi Huku sasa uwiiii!! Nasikia njaa balaaa naona kwenye kupunguza kufakamia nafeli KabisaaπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚!!
Ah nimeona picha moja nikasema wow , greenish ile mbaya .

Haha kula mama , enjoy
Usijibanie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…