Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku tatu wee sema kweli!!!!๐Ÿ˜๐Ÿ˜??
Hakii nataka kukiondoa ngoja nikuoneshe kinavoniharibia nguo za kubana โ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ!
Ewaaaah hebu tuone๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ
Hiyo siri kiboko, utafurahia sana๐Ÿคฃ
 
Basi huko ni ndani ndani aisee
Lakini ndo kuzuri huko

Hali ya hewa safi, vyakula ndo usiseme .
Yeahhh nichopendea huku hali ya hewa dahhh!! Kama ulayaaaa!!!
Afu hiko nilikua sisikii njaa sana Nimerudi Huku sasa uwiiii!! Nasikia njaa balaaa naona kwenye kupunguza kufakamia nafeli Kabisaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚!!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Acha uoga wewe, unadaiwa kwani
Sidaiwi Wala sitoki na mume wa mtuuu๐Ÿ˜๐Ÿ˜โ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ๐Ÿค !


Mie huyu niogopee! Thubutruuuuuuuu!!
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ