Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna watu hata Kota wanazisikia redioni
Wanakaa vijumba havieleweki kodi mgogoro,wengine huishia kuingia kwenye njia zisizo halali ili waipate.
Kuna watu wanadangia kodi,,,
Kuna grp moja nipo,dada anatafuta namna ya kwenda kutapeli mtu ili apate kodi.

Ukipata Neema ya kuishi Kota mshukuru Mungu.

Mimi natamani sehemu ninakofanya kazi kungekuwa na kota maana si kwa kuchoka huku ninakochoka kwenda na kurudi.
 
Poleee na hekaheka za kusemwa selfika dear!!!

Mie sikuhizi nimebaki kucheka tu kwa ninayoyasikia kunihusu humu!!
Duh pole pia aisee bado wanakusema tu .

Yaani hao ni kuignore tu
Ukiongea ni kazi bure .

Vipi wazima huko ??
 
Kotaziiii woyeeeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie bado watoto sana kiakili Mungu awasamehe bureee!!

Mie nimedakia tyuuu kuhusu taa alosema Mwachi udugu akee hakuna hata la maana !
Hebu Fanya wepesi unibless kigodoro shoss sijakuona kitrambo sanaaa ujue!!
 
Huyu yalikuwa majaribio tu shem.
Huyo nimemuelewa sema tu hunipi masharti yake. Au niibie namba yake tu shem 😍
Hahaa akikungangania je

Bestie yangu hataki kuwa side chick eeh , utaweza hili ??
 
Reactions: 511
Nyie bado watoto sana kiakili Mungu awasamehe bureee!!

Mie nimedakia tyuuu kuhusu taa alosema Mwachi udugu akee hakuna hata la maana !
Hebu Fanya wepesi unibless kigodoro shoss sijakuona kitrambo sanaaa ujue!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu relaaaxxx bhanaa wee, sasa na hilo la kukupa heka heka heka?? Mbna ni kuachaa tyuuh na kupotezeaa.

Mwenzio siku hizi JF naiona kawaida had najistukiaa, naweza kaa njee nisihisii km nna I'd hapa JF. Woiiiiiih
 
Kotaziiii woyeeeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kota zinapondwa wapi kwani?
Amayeziponda labda awe na mjengo wake au kazi anayolipiwa apartment ya kueleweka.

Vinginevyo ni kujifariji.
 
Kota zinapondwa wapi kwani?
Amayeziponda labda awe na mjengo wake au kazi anayolipiwa apartment ya kueleweka.

Vinginevyo ni kujifariji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie janaa nilipita samuweaa ndo nkakutaa watu wamecharuaanaa hapoo, hadi watu kukaa kota za serikali ikaingizwaa, JF bhanaaa full Manjegekaaa.

Nenda uzi wa unayemchukia JF. ukajionee dramaa za JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…