Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,280
- 33,588
Toa kufuli kule 😀Hivi miaka mitatu tayari?!!
Tuonane wapi eti jamani, sema nikukujie halafu niko serious jamanii
Toa kufuli kule 😀Hivi miaka mitatu tayari?!!
Tuonane wapi eti jamani, sema nikukujie halafu niko serious jamanii
Mawazo yako ni ya kimasikini mkuu.Utalala sebuleni hadi upate kazi
Kuko na nini eti jamaniMtaa wa pili..
Kutoka mtaa huu wa mzee Luhanjo
Toa kufuli kule![]()










Yaaaniii nacheka tuuu aki!!!
Mbona bega tena kaka jamani
Unaenda na mama J amaNapitia zile docs .
Kesho nazipeleka MM.
Nikiiweka kizungu ndio utaelewa zaidi
A shoulder to cry on![]()







Kazi ipi hiyo etiNiko na kazi nayo aki
Hebuu hukooKazi ipi hiyo eti
Siumwi chochote nimechoka tuSasa hizi..
Unaumwa nini shemeji yangu?
Kuko na nini eti jamani
EeehhhKwahiyo wewe ni shemeji yangu basi jamani ngoja nitafute single mwenzangu
Unaenda na mama J ama