#Tbt
View attachment 2681916
Huu mwaka
mshamba_hachekwi yupo shule ya msingi ana struggle kuandikia pensel
Lovelovie yupo darasa la nne au la tano
Saint Anne yupo form four huka akiwa ni Mwalimu wa Sunday School Kanisani
Aaliyyah yupo form two anajiandae na mock πππ
Tinsley yupo Boarding ya kishua darasa la tano
To yeye yupo form three halafu ana limwili likuubwaaaa