Sio kwa chenga iyo uliyompiga kijana wa watu mnywaniii.Mbavuuu zanguuu hukuuuu mnywanii π€£π€£π€£π€£π€ π€ π€ ! Nacheka huku narembua kwa usingizi hapa ujueeπ€£π€!!
Hapana sijakupiga chenga mnywanii niliitwa haraka skuliii na nilikua nimevutra lol!! Desemba naanzia utakapokuaaaa mnywaniiπ€π€π€π€©Sio kwa chenga iyo uliyompiga kijana wa watu mnywaniii.
Ume-miss-iwa πShemelaaa
Itabidi nije nyakibo kabisa waituHapana sijakupiga chenga mnywanii niliitwa haraka skuliii na nilikua nimevutra lol!! Desemba naanzia utakapokuaaaa mnywaniiπ€π€π€π€©
Hahahaha uko vzrMadole yangu yamejaa[emoji23]
Hadi vya mikononi vimejaa
Huwa vinanitia moyo kwamba siku moja ntakuja kuwa mnene
Raba Kali
Miguu ya BabaHahahaha uko vzr
Warmly welcome mnywanii!! Nitafurahijeeeee kukuonaaaa!!Itabidi nije nyakibo kabisa waitu
Si ticha wa mathematics Yupo lakini mnywaniWarmly welcome mnywanii!! Nitafurahijeeeee kukuonaaaa!!
Nakukumbusha Huku baridi kama ulayaaaaπβΊοΈ!!
Yupooo veree veree Usijareee kabesaaa mnywanii!!Si ticha wa mathematics Yupo lakini mnywani
Aya sinzia mtoto mzuri usije uka type bure maluwe maluweYupooo veree veree Usijareee kabesaaa mnywanii!!
Nipo kama gaidi tu π ππππ Mjomba inaonekana wee enzi hizo ulikua mkorofi sana weweππ!!
Acha utani basiMiguu ya Baba
Poa kipenziMambo
Jana nilikuwa naangalia Mwakasege nikasema Tina jamani ππ
Yes sweetie huwa namfuatiliaPoa kipenzi
Ndio tupo morogoro kesho tunamaliza..
Jmn nimefurahi kumbe na ww Huwa unamfuatilia!
Good morning chief
Hahaha...............kwa Umri huu wa miaka 82 bado nastahili kuitwa BabuGood morning chief
Nasikia siku hizi hutwi babu tena
Unaitwa Baba P