Thanks for your concern & advice Dr!!!😊Dr,
Ni gahawa ama chai ya rangi?
Kama ni black tea, basi sipo hapa kuharibu utaratibu wa mlo wako..ila please punguza utumiaji wa chakula na chai ya rangi.
Chai hupooza umeng'enyaji haswa uvunaji wa madini chuma. Ambayo kikawaida ndiyo maalum kwa ajili ya kuongeza damu mwilini.
NB: Ni ushauri tu.
Hahaha!. Sikuiwaza.Thanks for your concern & advice Dr!!!😊
Ilikua ni Coca-Cola....
Dah[emoji170]View attachment 2681297
Hahahahaha2016 dunia nzima wenye akili tulikuwa tunajiona sisi tu.View attachment 2681299
Kwa sie wabobezi tuna angalia vidole vya miguu,kama yaliyomo yamo?[emoji170]View attachment 2681297
It's been a while since I was in the kitchen!🥴 ....pilau nimekula kwa hisani!😊Hahaha!. Sikuiwaza.
Nakuona bado upo vema sana kwenye mapishi. Umeacha tu kushusha kwenye jukwaa la mapishi.
Enjoy.
Madole yangu yamejaa[emoji23]Kwa sie wabobezi tuna angalia vidole vya miguu,kama yaliyomo yamo?
Hamsikii wala kuambiwa chochote nyie ndio nyie 😁2016 dunia nzima wenye akili tulikuwa tunajiona sisi tu.View attachment 2681299
Ya nini Mkuu?duh,
hongera
upajaYa nini Mkuu?
Wa kuku[emoji23]upaja
acha kujing'ata pokea compliment hiyo😂Wa kuku[emoji23]
Picha ya karibu tu hiyo
Siwezi kupokea maana siyo yangu 😂acha kujing'ata pokea compliment hiyo😂
Baada ya frester kumuachiaThank you ankoo akeee nawe pia happy 7/7 deiiii🤩🤩
Namie nitafutie kama hiko ankoo ni cheupee kisafi ajee!
Barikiwa sanaaa ankoo akeee na uwe na wakati mwema ankaliii!!
😍
Sema Ukinionea Bantu Lady Lovelovie Kapachino National Anthem waambie nimewamiso hadi naumwaaa😘😘!!
Mbavuuu zanguuu hukuuuu mnywanii 🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠! Nacheka huku narembua kwa usingizi hapa ujuee🤣🤭!!Baada ya frester kumuachia
manyoya chino pale oilcom.
Sasa Yuko itobo bukene huku walau akiji fariji fariji na wahabeshi wa uku kupunguza punguza japo machungu.