Kaimba Nani hii?? Mbona mashairi makali saana[emoji444][emoji444][emoji444]Aliumba ardhi akaumba mbingu
Akaumba mbaramwezi kaumba nafsi, Kaumba wivu
Akayaumba na mapenzi na kukuacha sidhan
Siwezi jaribu maana penzi kwa mzani
Umenizidi mahabibu shika vyema usukani
Twende taratibu
Baada Ya tuta baby Koleza gia
Yani tam tam kama pipi nakuita sweet
Ah lote lote fundi kwenye kwichikwichi
Shape vipi kama lote
Vicheche nisha delete sitaki cheat
Wa toke toke kwenye moyo nimekupa seat
We ndo dereva, sio wa kukuacha oh[emoji444][emoji444]
hapo sawa, nikajua unatupiga kamba tu hapaMazoezi nafanya na nimerudi mda huu kutoka mazoezi
DahNdivyo ilivyo kwenye watu wengi na kila mtu ana akili, mtazamo na mahangaiko yake. Humu tabia za hovyo zipo nyingi sana.
Thanks buddyDiamond Platnumz
Humu ata mtu anichukie vip kwasasa napotezea tu mkuu sina mtu nae juana naeNiandikie hata pm please [emoji3064]
Hapa yaweza leta maneno
Nizamie PM iko wazi[emoji847]
Mie humu nishawahi chukiwa na mtu,nikajengwwa chuki kama chui utadhani nimeua,kumbe aliambiwa maneno ya uongo,akayabeba na kuhukumu bila hata kuniuliza.
Nashangaa urafiki umekata juu kwa juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji91]
[emoji23]kwa kweliHumu ata mtu anichukie vip kwasasa napotezea tu mkuu sina mtu nae juana nae
Kabisa kwasababu mtu akiamua kukuchukia anakuchukia tu[emoji23]kwa kweli
Ni mambo ya ajabu kujenga chuki ambazo hazina msingi.
Hata ufanyeje[emoji23]Kabisa kwasababu mtu akiamua kukuchukia anakuchukia tu
Nitafurahi mdogo wanguMjep naomba nikununulie vocha hata ya miatano
Njoo ule matunda kwanza!!!!!Nimekaa hapa nje,, naomba unipitishie soseji 1 na chips kidogo πππView attachment 2679407
We
Hebu nihadhithie hata pm kama hapa unaogopa
Hatari sana huyo kiumbe wenzake wanapanga mipango yeye anaangalia porno kwenye simu πHuyu mabega wazi π₯π₯π₯π₯
Hatari sana huyo kiumbe wenzake wanapanga mipango yeye anaangalia porno kwenye simu [emoji28]
Kusutwa ndio SunnahπππUbuyu nao ni Suna?π
DiamondKaimba Nani hii?? Mbona mashairi makali saana
Umezoom umeona eeeh π ila wadada ambao wananyoa nawakubali sana πHatari sana huyo kiumbe wenzake wanapanga mipango yeye anaangalia porno kwenye simu π
Huwa wananoga sana πUmezoom umeona eeeh π ila wadada ambao wananyoa nawakubali sana π
Wako bien πHuwa wananoga sana π