Selfika na JF: Snap it. Show it

Kipo sharp kikiwa hakijaza kweli
Hata kikijaa bado kinakimbia.

Hakuna anayependa kuchelewa


Basi wewe huwezi ukapanda siku Kuna mawimbi.
Huwa kinashindwa kutia nanga

Ama meli kubwa ukipita kunakuwa na mawimbi
Kwahiyo wakati wa kutia nanga hakitulii kule mbele kwa kushukia kile kibati kinaruka juu.
 
Usiku sipandi aisee kwanza naweza zungukia Mbagala tu mie

Kwanza namuwahi nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naenda zangu hadi uhasibu tu hapo .

Nilishanga kilivyokuwa kinaruka nikasema this thing ooh πŸ˜‚πŸ˜‚

Hicho tuwaachie mlichokizoea .
 

Huna shida ndo maana

Ukipata shida unapanda tu mbona


Ile njia ya kuzunguka ina foleni mno.

Mimi pia nilikuwa siwezi kusogeza miguu yangu hata kwenye ifukwe tu.
 
Malegendary tunapanda tu.
Siku ikifika imefika.


Kwanza hadi tuje kuzama,,mitumbwi yote hii ya wavuvi akina Majaliwa watakuja tu kutuokoa.
 

Huna shida ndo maana

Ukipata shida unapanda tu mbona


Ile njia ya kuzunguka ina foleni mno.

Mimi pia nilikuwa siwezi kusogeza miguu yangu hata kwenye ifukwe tu.
Sijaenda siku nyingi huko.ndo maaana nikawa nashangaa tu mie .

Sio foleni sana , naona itanisaidia kuliko hiyo ya ferry .

Napenda kutembea usiku muda mwingine .
 
Sijaenda siku nyingi huko.ndo maaana nikawa nashangaa tu mie .

Sio foleni sana , naona itanisaidia kuliko hiyo ya ferry .

Napenda kutembea usiku muda mwingine .
Oh sawa

Ikiwa route Yako ya kila siku, daily routine mbona utapita tu Kigamboni


Ukiwa unaenda mara mojamoja njia ya Mbagala inafaa.
 
Nimezoea wapi

Tabu hazizoeleki
Natamani kurudi tu mkoani aisee
Hili jiji ni mateso tupu
Pole sana yaani
Jiji gumu hili , tunakaza tu shingo

Nikapita kariakoo jioni nilijuta njia imebana ni wafanya biashara tu wapo njiani .

Na bado uende usimame kwenye basi toka kariakoo had Mbezi beach πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na li foleni la barabara duh .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…