Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,404
Juzi pia ujinga wa watu hivyohivyoYeah kwa kweli
Tumshukuru Mungu kwa kweli dah .
Mule mule watu wakaanza ongea ya kutisha nikaanza kusema enhe Yesu .
Khaa aise Dar hapa kuna vitukoNdo hivyohivyo watu wanakimbiaga
Kuna wengine walikimbia,baba na kitambi
Yule mlinzi pale mbele akamwambia hivi hujawahi kuanguka eeh?
Akasema ndiyo
Akamwambia ndio maana🤣
Dear hebu panda real pantoni maana hivyo sijui tuviitaje aiseeJuzi pia ujinga wa watu hivyohivyo
Yalajazana mbele
Nikataka kunasa.
Halafu wabishi
Eti ooh kwanini tusogee nyumba,kwani imekuwa daladala kwamba wanapanda wengine njiani.
Tukawaambia tunaenda kunasa katikati😂
Na tukinasa tutapoteza muda ..watu tunawahi mishe zetu halafu wajinga wachache wanaanza kutuchelewesha.
Wakasogea nyuma.
Akakazia baba mmoja kuwa mkizidi mbele engine inakosa balance.
Inatakiwa ipumue kama binadamu
Kwahiyo ikikosa balance inasimama.
Mi napanda kila siku [emoji23]Dear hebu panda real pantoni maana hivyo sijui tuviitaje aisee
Anha hiyo kila siku itakuwa mwendo wa kuelekezana kuwa
Sogeeni nyuma [emoji23]
Akya nani , Azam alete pantoni za maana na sio sub pantoni .
Unaona kishatupita[emoji23]Khaa aise Dar hapa kuna vituko
Ni kuwahi tu seat watu ndo wanawaza na hata huchoki ukisimama.
Jana nimekoma kutembea jumapili .
Hivi jumapili inakera uwiii
Unasimama masaa kusubiri bus , watu wengi barabarani tafikiri jumatatu .
Kweli kile ni kitax duhMi napanda kila siku [emoji23]
Asbh labda nikikosa kile kitax ndo napanda kubwa.
Ndo maana inaitwa taxi[emoji23][emoji23]
Hapa penyewe nimepanda[emoji23]
Ila kubwa View attachment 2677489
Kipo sharp kikiwa hakijaza kweliUnaona kishatupita[emoji23]
View attachment 2677491
Hata kubwa ukikaa chini unasikia maji.Kweli kile ni kitax duh
Ni hatarii .
Bora hiyo kubwa aisee
Kile unasikia maji kabisa .
Hata kikijaa bado kinakimbia.Kipo sharp kikiwa hakijaza kweli
Usiku sipandi aisee kwanza naweza zungukia Mbagala tu mieHata kikijaa bado kinakimbia.
Hakuna anayependa kuchelewa [emoji23]
Basi wewe huwezi ukapanda siku Kuna mawimbi.
Huwa kinashindwa kutia nanga[emoji23]
Ama meli kubwa ukipita kunakuwa na mawimbi
Kwahiyo wakati wa kutia nanga hakitulii kule mbele kwa kushukia kile kibati kinaruka juu.
[emoji1787][emoji23]Usiku sipandi aisee kwanza naweza zungukia Mbagala tu mie
Kwanza namuwahi nani [emoji23][emoji23][emoji23]
Naenda zangu hadi uhasibu tu hapo .
Nilishanga kilivyokuwa kinaruka nikasema this thing ooh [emoji23][emoji23]
Hicho tuwaachie mlichokizoea .
Mimi kubwa nakaaga juuHata kubwa ukikaa chini unasikia maji.
Sijaenda siku nyingi huko.ndo maaana nikawa nashangaa tu mie .[emoji1787][emoji23]
Huna shida ndo maana[emoji23]
Ukipata shida unapanda tu mbona
Ile njia ya kuzunguka ina foleni mno.
Mimi pia nilikuwa siwezi kusogeza miguu yangu hata kwenye ifukwe tu.
Yeah pale wavuvi wengi sanaMalegendary tunapanda tu.
Siku ikifika imefika.
Kwanza hadi tuje kuzama,,mitumbwi yote hii ya wavuvi akina Majaliwa watakuja tu kutuokoa.
Wenzio kubwa tunasimama kule mbele karibu na kwa kushukia[emoji23]Mimi kubwa nakaaga juu
Ni mara moja nilikaa chini
Meli kuzama ni processYeah pale wavuvi wengi sana
Ah mie sinaga haraka aiseeWenzio kubwa tunasimama kule mbele karibu na kwa kushukia[emoji23]
Kikisimama tu tunashuka kabla ya magariView attachment 2677502
Oh sawaSijaenda siku nyingi huko.ndo maaana nikawa nashangaa tu mie .
Sio foleni sana , naona itanisaidia kuliko hiyo ya ferry .
Napenda kutembea usiku muda mwingine .
Muda huo ushachelewa kaziniAh mie sinaga haraka aisee
Nasubiri taratibu ndo nishuke .