Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Kuna mtu ana shepu humu kumzidi Anto labla weupee harafu ninacho mpendea mzuri wala halingi 😍❤️
Kuna mtu ana shepu humu kumzidi Anto labla weupee harafu ninacho mpendea mzuri wala halingi 😍❤️
Utajua mwenyewee😏😏😏!Una niuziaga hip bhangi, au tuna moka wote🤣😂
Mimi na wewe siti moja 😀😀😀Kama ipo ipo tu,Mimi na ubapa wangu hata nipige vipi haitokei🏃🏿♀️
Mweh kweli ni kamera tu dear!!Kama ipo ipo tu,Mimi na ubapa wangu hata nipige vipi haitokei🏃🏿♀️
Mmmh si uliweka picha siku ile una shepuu ya kwendaa kwa wakwe.Mimi na wewe siti moja 😀😀😀
Ana kuchokoza huyo 😁😁Utajua mwenyewee😏😏😏!
Na ndo hio naingoja😍😍😍Mimi na wewe siti moja 😀😀😀
Huyo chizii!Ana kuchokoza huyo 😁😁
Aaliyyah ana jitoa Akili, ila ni mgari wa kubebea Tani 10 za mchanga😂🤣Mmmh si uliweka picha siku ile una shepuu ya kwendaa kwa wakwe.
Why whyy, au wenge la mawigi😂🤣🤣Huyo chizii!
😁😁Huyo chizii!
Acha ukorofi mkuuWhy whyy, au wenge la mawigi😂🤣🤣
Wapi ndugu pozi tu 😀😀linafanya uonekane ndo vile kumbe majangaMmmh si uliweka picha siku ile una shepuu ya kwendaa kwa wakwe.
Madam Santo Domingo, Lovelovie Yuko wapi??Utajua mwenyewee😏😏😏!
Mmeiharibu sana Selfika mxxiewww!!!😏😏Why whyy, au wenge la mawigi😂🤣🤣
Umeogopa, mi na Antonnia Ni ma best. So ni sawa na kopo na mfuniko😂🤣Acha ukorofi mkuu
Ehhh kisa kuondoka kwetu au??Mmeiharibu sana Selfika mxxiewww!!!😏😏
Umeona eeehhh!! Ni pozi la Kamera tu !!Wapi ndugu pozi tu 😀😀linafanya uonekane ndo vile kumbe majanga