Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkaachana wapi na huyo jamaa dah .

Hahaa mkongwe kwenye mapenzi .
Yule hatukuachanaa, ila aliondoka mie nikiwa shule, narudi likizo simkuti naambiwa kaenda Rwanda kwa baba ake mdogo, toka hapo sina mawasiliano nae tenaa.

Namkumbukagaa.
 
Yule hatukuachanaa, ila aliondoka mie nikiwa shule, narudi likizo simkuti naambiwa kaenda Rwanda kwa baba ake mdogo, toka hapo sina mawasiliano nae tenaa.

Namkumbukagaa.
Aisee pole dah
Alikuwa first love nn

Akiruidi je sasa
 
Reactions: 511
Walai Hii baridi aiingize mpaka ipenyee mgongoni [emoji1783][emoji1783][emoji2960]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achokonoee hadi nyongaa ipandee shingonii.

Nyokoooo weee, Una akili km zangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umejuajee sasa, nikae solo na G yupoo? Ni matumizi mabaya ya,mahusianoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo sleep over kabisa
Kurudi ni kesho eeh .
 
Reactions: 511
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achokonoee hadi nyongaa ipandee shingonii.

Nyokoooo weee, Una akili km zangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣🀣🀣!

Wee ni chiziiii😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 2nd love.
Ila tulipendanaaa sanaaa.

Akirudi sijui itakuajee, ila mmmh huko alipo atakua ashaoa na watoto bhana.
First love alikuwa nani aisee
Umeanza kitambo wewe ni mkongwe eeh .

Mie nimekuja kuanza wakati nipo chuo ndo mahusiano sasa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…