Obsessed ile mbayaDie hard fan ππ
Fanya mpango mkutane dear ! Sio kwa hii hali lol!!π€π€Nataka ya kwake tu ππ
BossBS ndio nani??? Nipo na baba chanja wangu mieee!!
Mambo ya text bila kumuona mtuπ πUsijareee Mie nipo furuuuuu π€ΈπΊ tena ndio naipenda hii hali tramu kinoumaaa!!
Msiturushe roho sisi ma singoπ TinsleyFanya mpango mkutane dear ! Sio kwa hii hali lol!!π€π€
Takoradi au arushaUnaenda wapi tena kijana
Ndiwoooooo!! Ooh poleee kwa mafuaa.Ushakuwa mama mjengo mwenyewe ,
Mapenzi matsmu sana
Mimi mafua tu yananizingua
Nasinzia tu hapa .
Kama mpo karibu msijibaneee wapendwaa maisha ndio hayahayaaa ππ€ π€ π€ !!Mambo ya text bila kumuona mtuπ π
Inawezekana hiyo traaamu kinoma ni nanihiii mimi nazani baridi. πππ
Nitasubiri by JuxFanya mpango mkutane dear ! Sio kwa hii hali lol!!π€π€
Asante dearNdiwoooooo!! Ooh poleee kwa mafuaa.
Arusha nibebe na mimiTakoradi au arusha
Tuko karibu na nani tenaπ€£π€£Kamati mpo karibu msijibaneee wapendwaa maisha ndio hayahayaaa ππ€ π€ π€ !!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali, 2013 hiyo Nitasubiri ya jux kuna jamaa alikua ananiimbia,Nitasubiri by Jux
Huku naondoka , kibaridi hatari nilirudi ghetto tu .
Najiandaa dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante dear
Kwa hiyo umeenda kwa G tayari ??
Mkaachana wapi na huyo jamaa dah .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali, 2013 hiyo Nitasubiri ya jux kuna jamaa alikua ananiimbia,
Nyie nimetokaa mbalii wallah, halali nisemee nimezeeka sasa.
Kwakweli hebu nifanye nirudi Zangu Nyakiboo kesho skonga mi saii nipo kujichetua tu jijini kwenyuu wenyewe πππ!!Tuko karibu na nani tenaπ€£π€£
Urudi tu Nyakiboo sio kwa fujo hizi.
Sasa kama tunaonana kwa mwaka mara 1.Wewe ni singo kwani shem
Na bestie yangu je
Nenda dearNajiandaa dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kapiga cm, kasema kuna sehem kaenda akiwa anarudi atanstuaa na mie nianze kutokaa hapaa.