Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
Hawawezihawaruhusu kupiga picha humo, wakikukamataaaa
Napiga kwa mahesabu.
Hawawezihawaruhusu kupiga picha humo, wakikukamataaaa
Ukisikia wanaongelea "Mrembo namba 8" waonyeshe huyu [emoji39][emoji39][emoji3589]
Wenye nane zao watasemaje?😂😂😂Ukisikia wanaongelea "Mrembo namba 8" waonyeshe huyu [emoji39][emoji39]
Nimekujaa shougaaanguuuuu sema sijaseto kabesa leooo ngoja kidogo nitulie afu uufanye usiku Wangu kuwa furreeeeeeesssshhhhhhhhh kabesaaa kipenziii wewe treinnnaah!!😍😍😍😘!!Antonnia
Shouzzzzzz akee njoo hapa nikuoneshee rangi ya mtumee, afu OG sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukinisikiliza mimi mambo yatakua mazuriNgoja nikusikilize☺️
As you wish ❤️☺️Ukinisikiliza mimi mambo yatakua mazuri
❤️As you wish ❤️☺️
Dah naona wakili wa vijana naandamwa Sana😂🤣, we Ms eyes huyu Jack Palladino ni Kama yuda was Zama za yesu😂🤣🤣Achana na huyu mtu😅
Ms eyes maadui ni wengi😂🤣🤣, ila tutafika salama tu😍😍😅 kweli?
Dah bro Jack Palladino una taka kuwa Kama Karl Peter's wa bongo🤣.Ukinisikiliza mimi mambo yatakua mazuri
Hivi Saint Anne huwa unaendaga wapi napenda picha zako ukiwa kwenye ferry 😊[emoji3589]View attachment 2675151
Ume Anza🤣😂😂Hivi Saint Anne huwa unaendaga wapi napenda picha zako ukiwa kwenye ferry 😊
Hongera sana mkuuView attachment 2675030
Wanasema Elimu haina mwisho, lakini kuingia darasani na wajukuu zangu akina Mwachiluwi mshamba_hachekwi na mwenzao cocastic nahisi aibu kwa Uzee huu 🤪
Warembo wetu hawa lazima tuwalinde dhidi ya majambazi ya mitaani huko 😅Ume Anza🤣😂😂
Day mzee wa kukiwasha🤣😂😂, Huku unapuliza na kungataa🤣Warembo wetu hawa lazima tuwalinde dhidi ya majambazi ya mitaani huko 😅
Na hutoi hudumaMy babr huyo naonanae sana tu
Wakat ww ni sungusunguWarembo wetu hawa lazima tuwalinde dhidi ya majambazi ya mitaani huko 😅
Mzee wa kupambania ni mwizi mwenzio, we dogo🤣😂😂Wakat ww ni sungusungu