Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Venye unanipenda dada kipenziUvumilivu kwakweli umenishinda mimi
Ngoja nimwambie ananificha jamani mpaka nashindwa kuingia jf babe
Naelewa sana jamani dear!
EeeehhhMuongoooo huyo..
Hatujaachana wala..
Muachane mara ngapi sasa jamani
Hahahhahahana watoto kazaa Baba JJ
Kumponzaje sasa baba jjUnakosea shemeghi
.
Afu utamponza sakayo...
AiseeeRudi post za juu huko....
Dada yako ana michepuko kama nini ...
Kwakweli dada nimeumia kama vile T ni babe wanguVenye unanipenda dada kipenzi
Nimekumiss pia dearUsipotee hivyo jamani eti,, nimekumiss mimi..

nitajitahidi jamani nisipotee hivi
Yaani nimeshangaa umeshindwaje kunipa hizi habari za baba jj
Siku nyingi saaana jamani dada!!Kweli lazima maisha mengine yaendelee na vile Mungu kaumba kusahau najua umeshamsahau dada
Now usiku mwema for real, veeery sleepy. Msinipigie kelele mkaniamsha tena.
Kwa ndugu yangu naingilia hata kama mtapatanaNani kasema tumeachana.
Wewe subiri in few hour utaona hata tunaagana kwenda kulala..
Ugomvi wa wana ndoa kaa nao mbali...
Venye unanipenda dada kipenzi
NakaziaEbu acha kumsingizia