Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi walikudokeza ameolewa na Mjeda? ๐Ÿคช
Leo umenikaliajee kooni wee mzee nipumzishe kidogo lol!!
Wenzio wana data nyingineee wee unazungumzia mjeda ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿ˜!!!!

Ebu selfikeni kwanzaaaa๐Ÿ˜Š!!
 
So sad
Mimi mambo ya siasa siyapendi , naona yanatesa tu ukifikiria

Nothing will ever change , just crooked system everywhere .
Ni kweli wengi hatupendi Siasa lakini maisha yetu wote yanaathiriwa na Siasa.

Imagine kuanzia kesho tarehe 1/7/2023 bei ya mfuko wa Cement inapanda, ukiwa unadunduliza Kujenga kibanda chako mahali hauta kuwa umeathiriwa na gharama hizo?

Basi gharama hizo zimejadiriwa na kuridhiwa na Bunge letu ambalo linaongozwa na Wanasiasa ๐Ÿ™Œ
 
Kumbe kaolewa na mjeda
Basi nimetema ndoano, sitaki heka heka mie๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜…
Mie humu nawawezeaa wapiii kwanzaaa sewaweziiiiiiiii๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿค ๐Ÿค !!
Acha nikaki na ngamia wangu mmoja anifaaye hata jangwaniii!๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š!!

Wa kwenye jua kwenye mvuaaaa kwa shida na rahaaaa !!
Kwa maradhi kwa afyaaaa๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค 
 
So sad
Naona hadi majirani limewachwea

Kodi za nyumba za watumishi wanakatwa .
 
Leo umenikaliajee kooni wee mzee nipumzishe kidogo lol!!
Wenzio wana data nyingineee wee unazungumzia mjeda ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿ˜!!!!

Ebu selfikeni kwanzaaaa๐Ÿ˜Š!!
Hahahaha...................niwie radhi Mjukuu, nahisi hizi John Walker za leo ninazo kunywa ni kama wameongeza kilevi ๐Ÿคช๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Reactions: 511
Hahahaha...................niwie radhi Mjukuu, nahisi hizi John Walker za leo ninazo kunywa ni kama wameongeza kilevi ๐Ÿคช๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
Sio kosa lako ni Hekaheka za uzeeee hizooo unazeeka vibaya babuu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ