Selfika na JF: Snap it. Show it

Mweh mshamba wakuja mwanamke yupoyupo tu naibwaje babu nawee!!
Kwanza Vijana sio fleva zangu mieee wana mambo miambiliiii ishirini kidogoooo[emoji57]!
Acha nipambane naharee yangu tyuuuu!!
Chukua vijanaaa wee, damu changa, damuya motoo, ukitoka mzagamuoni unatafuta pain killer na maji ya kunywaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nliishawahi kutamani hivi
Tungekuwa mbali sana na kufikia malengo makubwa.

Wakenya wanatucheka kuwa hatuna skyscrapers nyingi
Zipo mbili tu za pale posta .
 
Noma sana
Mheshimiwe wazee wetu

Mimi wazungu nawapenda , wametuletea mambo mazuri , tungebaki vile sijui ingekuwaje .
Basi wenzio hao wazungu ndo hawataki kuwasikia, utaskia wameleta [emoji2380][emoji2380], utadhani watu wanashikiwa bundukii, lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chukua vijanaaa wee, damu changa, damuya motoo, ukitoka mzagamuoni unatafuta pain killer na maji ya kunywaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili nigundue nini miee hekaheka siziwezi uduguuu 🀠😁!
Acha nitulie miee nilienae anitoshelezaaa mpaka nabakiaaa πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›!!
 
Reactions: 511
Ili nigundue nini miee hekaheka siziwezi udugu [emoji1783][emoji16]!
Acha nitulie nilienae anitoshelezaaa mpaka nabakiaaa [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]!!
Hebu sema kweliiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nliishawahi kutamani hivi
Tungekuwa mbali sana na kufikia malengo makubwa.

Wakenya wanatucheka kuwa hatuna skyscrapers nyingi
Zipo mbili tu za pale posta .
Alichokosea Nyerere ni kutoweka mifumo ya kudhibiti Wizi na Ufisadi baada ya Yeye kuondoka.

Viongozi wenzake waliomfuatia wameitafuna Nchi na wanaendelea kuitafuna as wameifanya shamba la Bibi huku wakiendelea kulindwa na vyombo vya Ulinzi πŸ™Œ
 
Basi wenzio hao wazungu ndo hawataki kuwasikia, utaskia wameleta [emoji2380][emoji2380], utadhani watu wanashikiwa bundukii, lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heheee balaaa

Mimi nawapenda and nimejikuta nawaiga sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tungebaki washamba sana yani enzi za miaka 47
 
Alichokosea Nyerere ni kutoweka mifumo ya kudhibiti Wizi na Ufisadi baada ya Yeye kuondoka.

Viongozi wenzake waliomfuatia wameitafuna Nchi na wanaendelea kuitafuna as wameifanya shamba la Bibi huku wakiendelea kulindwa na vyombo vya Ulinzi πŸ™Œ
So sad
Mimi mambo ya siasa siyapendi , naona yanatesa tu ukifikiria

Nothing will ever change , just crooked system everywhere .
 
Unatakaaa ya Goviii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema nikutengenezee, tena lingozii ntaliweka likubwaaaa.
Govi tenaa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸ€ 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…