Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Na wanilipe kabisa๐๐๐Hahaha legeza kidogo
Unaweza bahatika kupata binti ambaye mzazi wake hataki mahari .
Haya naendaSikwambii leo.
Nenda unasubiriwa huko.
Nikikaribia kuja nitakwambia uniandalie host wa kwuniongoza mitaa ya Daslma๐
We utakuwa busy na baby wako, sitaki kuwa msindikizaji, nataka wa kunipa joto na mimi ๐Haya naenda
Naomba host niwe mimi mwenyewe .
Will take you to the places youve never seen before ๐๐๐ .
Nimekumbuka concept ya lamerck, use and dis use๐๐๐, hapa kwangu alifeli๐๐ Dahan๐๐๐๐ Sure, utumie vizurii si unajua hauna spare๐๐๐๐๐๐๐
HeheeNa wanilipe kabisa๐๐๐
Hehe kumbe ๐๐We utakuwa busy na baby wako, sitaki kuwa msindikizaji, nataka wa kunipa joto na mimi ๐
Itabidi nianzishe chama Cha Sera za wahindi, kwa jumuiya ya ndani tz ๐๐Hehee
Bride price muhimu bhana utoe hata robo .
Usichukue bure bure .
HeheeeeItabidi nianzishe chama Cha Sera za wahindi, kwa jumuiya ya ndani tz ๐๐
๐Ili wanilipee๐๐๐
Asijiandae, hakuna jipya, just hugs and drinks.Hehe kumbe ๐๐
Huyo host ajiandae
Mimi na baby wangu hatokuwa na PDA , hivyo usiwazw
Kumbe basi hamna shidaAsijiandae, hakuna jipya, just hugs and drinks.
HujatokaKumbe basi hamna shida
Vitu vidogo sana hivyo , she will manage .
Tayari ShemHujatoka
Poa. Weekend mjema. Mkifika mtukumbuke hapa kwa sf zenu. ๐Tayari Shem
Sawa nawe piaPoa. Weekend mjema. Mkifika mtukumbuke hapa kwa sf zenu. ๐
Naona unaitendea haki yanga๐๐Hio sampo tu Nyingine Zishapakiwa kutolewa Mpaka Nyakiboo hioooo!
Pia Kuna vi gauni vishati sketi viatu na urembo aina zotreeee!!
shifoni jeans kodray kadeti na matirio aina zotreee unapata๐ฃ๏ธ
๐๐๐๐Nimefurahi kusikia Ofa ya DP World kulikodisha Jukwaa letu la Selfika na JF kwa kipindi kisichojulikana imetupiliwa mbali.
Kongole kwa Wanasheria wetu makini wakiongozwa na mshamba_hachekwi Tinsley Mjep na Wakili msomi rabbitus kuweza kusimamia hili
Sasa tunaweza kunywa John Walker zetu kwa utulivu sasa ๐คช
Guys it's Friday ๐ฅ