Wa mwaka gani huuUnaijua hii ngama @ mshamba_hachekwi, Tinsley View attachment 2674113
Lol niliona juzi mmama mmoja amekatakata migoho kachanganya na karanga na karoti kaweka kwenye vi nylon anauza nikajisemea tu nhiiiii kweli tembea uone sio barabara na maghorofa !! Ushambaa huu🤠🤠🙌Karma has no menu. You get served what you deserve. Lunch more, worry less.
Partner in crime mshamba_hachekwi, Dulcet Tinsley, Bellissima Lenie flattering Dahan
View attachment 2674055
Yeah mawasiliano kuna mnada leo pia .Huko na karume nilienda jana hapo ni nimawasiliano mule stendi nilielekezwa kwa pailo fulani Hivi ana baloo za mitumba na bei nafuu sana
Get well soon .Hakuna kitu kinanitesa km Mafua, hapa nipo km kondoo,yanamwagika tu
sijawahi tongoza customer care😂Tafuta hiyo ngoma inakuhusu bro
Ndio mule ndani dear!Yeah mawasiliano kuna mnada leo pia .
Ni ndani mule kwenye soko ??
Nimepita hapo asubuhi leo.
Hapo wana vitu chimbo zuri sanaNdio mule ndani dear!
Yaani mshamba_hachekwi unashindwa na church girl Tinsley 😂😂😂Wa mwaka gani huu
Kama naona kwenye tv
Jamaa kapiga simu , customer care ana sauti nzuri wakapeana contact .
.
Hii ishanitokea wakati nipo mtoto napenda kupigia customer care 😂😂 kuwasumbua kuhusu APN dah .
Kuna mdada mmoja tulikua nae tunachagua tulikua mi nayeye tunachagua huku yulee mkaka nae anatusaidia kusaula anatuonyesha tukiona vizuri tunavutanajeee kugombania🤠🤠🤠🤠🤠Yeah mawasiliano kuna mnada leo pia .
Ni ndani mule kwenye soko ??
Nimepita hapo asubuhi leo.
Hapoo chacha 😂😂😂Yaani mshamba_hachekwi unashindwa na church girl Tinsley 😂😂😂
easier said than done....Yaani mshamba_hachekwi unashindwa na church girl Tinsley 😂😂😂
Heehee yani hapo usikute yeye ndo anaiwahi ,nguo zuri halafu.Kuna mdada mmoja tulikua nae tunachagua nae tulikua mi nayeye tunachagua huku yulee mkaka nae anatusaidia kusaula anatuonyesha tukiona vizuri tunavutanajeee kugombania🤠🤠🤠🤠🤠
Kwenye Tv yaani .Disco
Yaniii ni kuwa shapu unachambua huku unachezesha macho 😳😳 kwayule mkaka ukizubaaa nzuri inawahiwa !Heehee yani hapo usikute yeye ndo anaiwahi ,nguo zuri halafu.
Unabakii kuumia moyoni
Mzuri huu sijui
Weee kumbe! Asavali!! Na Nitakua nishazoea !First day hiyo🤣🤣
Ukizoea huna haja ya kukodoa kwingine, wewe na pailo tu
Eeh mitumba bhana yahitaji utulie haswa .Yaniii ni kuwa shapu unachambua huku unachezesha macho 😳😳 kwayule mkaka ukizubaaa nzuri inawahiwa !
Naukumbuka huu
afrobeats na afrofusion....Unajua singeli tu sio?? 🤣🤣