sisi tulikua tunaenda kutafuta uyoga, masuku na madongaa, sasa tumetafutaa wee ikabidi tukae chinii tupumzike tulee masuku.
Bas tukaanza kelele, si unajua utoto tena, kuja kushangaa mjeda huyu hapa, tukamsalimia vizuri, anapitaa, sasa alivyopita sisi tukawa waoga tukaanza kuondoka kurudi, anatuangalia tyuuh had tunapotea lahaulaa mbelee tukakutana na wengne wawili.
Ndo mtiti ukaanza hapoo
Ile siku sitasahau, nilichambwaa mie, toka pale mie wanajeshi sipatani nao kabisaaa.