Kama una kete fichaLoooh! utanikuta hapa, ila tu usije naye huku ptyuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba atanikamata yuleKama una kete ficha
Niko nae, nakuja nae
mapenzi kitu gani banaπKabonge na mwanao Tinsley ndie wa level yako π
Na mimi tena kaka una mashaka na mmπwangekua hawa vijana mshamba_hachekwi na Mwachiluwi ningekua na wasiwasiπ€£
mara moja moja sio mbayaπ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tulikua tunaenda kutafuta uyoga, masuku na madongaa, sasa tumetafutaa wee ikabidi tukae chinii tupumzike tulee masuku.Lile chimbo hatari sana,
Hata yale matukio mengine mle ilikuwa ni kawaida sana. Maana ukijichanganya pale chagua, ulalie majani au ufanyishwe mazoezi.
Mungu atusamehe tu kwa kweli.
Muulize nani alimbembeleza alivyokua analia
Dah wewe mtoto una adabu kabisausiniweke na huyu mla chipsiπ
ice cubes na hilo baridi la chugaπNaomba cubes mshamba_hachekwi View attachment 2669558
mtaachana tu!!Dah wewe mtoto una adabu kabisa
Achana na mimi sepamtaachana tu!!
Unatafuta vidonda vya tumbo kwa udi na uvumba eehNaomba cubes mshamba_hachekwi View attachment 2669558
Unatafuta vidonda vya tumbo kwa udi na uvumba eeh
Mieleka mtoto wa kike ya niniπππ leo silii
Naangalia mieleka
Nipo Bukobaice cubes na hilo baridi la chugaπ