Selfika na JF: Snap it. Show it

Jana nimesuka avomaliza si mbele ananirashia hio ya muhogo Alooooooohh nimeunguajeee!
Yani ile anapaka dakika hiohio inaumaaa uwiiii[emoji119]! Dawa ni kali balaaaa sirudii kuipaka[emoji119][emoji119][emoji119] !!
[emoji38] pole
 
Angekupaka ya kawaida tu
Hiyo ya mihogo si ndio Tinsley kaambiwa asianzie chini sana,,

Sasa huyo kakupakaza nywele za mbele kabisa jamani😂
Si bora aliepaka nywele kiujumla walau zinakua nyinyi nyingi walau mimi nimesuka kawaida hutu twa mbele twa kulaza na jeli ni alirundikaa yeuwiiiii!! Dakika hio hio nakwambia 🙌🙌🙌🙌!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…