Selfika na JF: Snap it. Show it

Nazisuka dear
Na nimepata msusi mzuri basi nasuka mara kwa mara .
Good
Zikishatulia ,tafuta dawa nzuri ya box , Cha msingi jua texture ya nywele yako.
Km ni ngumu,nyingi basi dawa ambayo ni 'super' ndo unatakiwa uweke..
Maana Kuna super, regular na normal....
Km a kawaida sio ngumu,nyingi,sio nyepesi basi regular.....
Na km ni chache ,nyepesi basi normal inakuhusu....
Na hapa ndo wengi wanashindwa, na watu wa saluni wanaojua kuelekeza mi wachache
 
Nimechoka relaxer , i wanted to try something new

Toka nipo mdogo napaka tu mi dawa ya ajabu .

Nilichokosea ni kujipaka mwenyewe .. Nimeungua mbele hapa .
Kumbe, pole
Mi pia najiweka mwenyewe
Cha mhimu upate dawa inayoendana na Sina ya nywele yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…