Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Ungeficha hii pic kwanza
Ungeficha hii pic kwanza
mimi nilimjulia humu humu ndio😂Oya dogo ya kweli haya mshamba_hachekwi ?
Umemjua lini?mimi nilimjulia humu humu ndio😂
sijamlenga mtu jamani😅Khaaa jmn
Kwahiyo ndo kusema
Ewaaaaahh!
sio mda si unaona mi mwenyewe nimejoin march....Umemjua lini?
Huyu Tayana-wog tumeelewana atakuja PMsio mda si unaona mi mwenyewe nimejoin march....
fukuzia mzee wangu nakuaminia😂
Tuache wenye makomwe hahaakwahiyo ukiwa na komwe hairline iko nyuma sana unapata bf wa hovyo😂
mi napenda wasiosuka, wanaonyoaTuache wenye makomwe hahaa
Yani muwahudumie mababy zenu wapendeze wasuke manywele hadi kiuononi
Wanapendeza sana wanaonyoami napenda wasiosuka, wanaonyoa
vipi wewe, hupendi kunyoa??Wanapendeza sana wanaonyoa
Wanavutia pia
Vibe la leo ni nomaFemile kikuta...😊View attachment 2668816
Hatari kabisa😅Vibe la leo ni noma
Hiyo play list
Nina kihere here nikininyoa tu naanza kutamani kusukavipi wewe, hupendi kunyoa??
Ndo manaake bossHuyu Tayana-wog tumeelewana atakuja PM
Nipo PMNdo manaake boss
Santeeeee sanaaa bestEwaaaaahh!
Hapa usiku Wangu unaenda kuwa furreeeeeeesssshhhhhhhhh kabesaaa Wabheja sana!!
Umetokelezeiyaaaa kinoumaaa!!!🤩🤩😍
🤣🤣sijamlenga mtu jamani😅
usiyatie moyoni😂