mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,379
- 75,735
wengi hatuna..... usidanganyike ukiona kijana amependezaNa nyie mnazo sema bado ndo mnajipanga .
wengi hatuna..... usidanganyike ukiona kijana amependezaNa nyie mnazo sema bado ndo mnajipanga .
Bro chama Cha masingle kidumu🤣😂😂shida sio kua na mchuchu, shida ni kua kwenye commited relationship....
japo sijawahi ila zinaonekana ni kazi sana😅
SalamaHabari mkuu
Hakuna marefu yasiyo na nchawengi hatuna..... usidanganyike ukiona kijana amependeza
Broo kasome ubahili sura ya 6, kifungu Cha Hiyo pesa haipo🤣😂😂Wanahisi wanawake wote ni gold diggers😅
Safi sanaSalama
wewe ni special case....Bro chama Cha masingle kidumu🤣😂😂
For real🙄, mna ongea tu🤣😂. Ila mkisha wekwa ndani utasikia👉 nataka Indian hair🤣😂😂😂Hakuna marefu yasiyo na ncha
Na pesa si kielelezo cha ndoa .
Mungu hakawii wala kuchelewa
Anajibu kwa wakati .
dah, kama hii ni kweli basi wacha niwe optimisticHakuna marefu yasiyo na ncha
Na pesa si kielelezo cha ndoa .
Mungu hakawii wala kuchelewa
Anajibu kwa wakati .
Kwa kuwa wewe ni katibu wa chama Cha kumwaga nje, na sheria ya mkono bao🤣😂😂😂wewe ni special case....
U on point gal👊Ewaah
Not after money wapo wengi
Kikubwa ni love , constant communication and care .
Hilo buti mkuu Kama unatokea DP world kukagua makontena!! [emoji3]
Kwa ndoa za siku hizi🙄, mna oana tarh 1, kuachana trh7🤣😂. Afu usikie tugawane Mali zetu 🤣😂😂Hakuna marefu yasiyo na ncha
Na pesa si kielelezo cha ndoa .
Mungu hakawii wala kuchelewa
Anajibu kwa wakati .
Kuna wengine hawahitaji hela, mtatafuta wote😅Broo kasome ubahili sura ya 6, kifungu Cha Hiyo pesa haipo🤣😂😂
Maybe in paradise 🤣😂😂U on point gal👊
Indian which 😂😂😂For real🙄, mna ongea tu🤣😂. Ila mkisha wekwa ndani utasikia👉 nataka Indian hair🤣😂😂😂
Brooo🙄, Hao viumbe wa hivyo walikuwepo miaka ya 70.Kuna wengine hawahitaji hela, mtatafuta wote😅
Hawa vijana hawawezi kutuelewa kabisaU on point gal👊
Usije nipigia simu unalia🙄, mbwa wa maziwa we😂🤣🤣dah, kama hii ni kweli basi wacha niwe optimistic