Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Wazee tukiwasaidia wanaanza kulalamikašNoma sana
Wazee tukiwasaidia wanaanza kulalamikašNoma sana
Wasaidieni tu hawa vijanaWazee tukiwasaidia wanaanza kulalamikaš
Heheee shem rabbitus
NaamšWasaidieni tu hawa vijana
Hakuna namna
hopefully ntaachana na #kataandoahopeful utaweza tu .
ššš
ngoja aje aanze shusha mistariš
Muwape na nondo wafikie hapoNaamš
Tayari upo katika hatua ya kwanza .hopefully ntaachana na #kataandoa
Hawaelewi somo hawašMuwape na nondo wafikie hapo
Kizazi kijacho kitakuwa shida sana .
harusi lini....
somo ni hela, hicho tu!!Hawaelewi somo hawaš
Kuna ule msemoHawaelewi somo hawaš
Maneno kwanza hela baadae!somo ni hela, hicho tu!!
unakumbuka msemo wako 'ukiwa na hela unajilia kiulainiiii'šEndeleeni kujilia tu nyie
Wanahisi wanawake wote ni gold diggersšKuna ule msemo
Mwenye macho haambiwi tazama .
Endeleeni kujilia tu nyie .
harusi lini....
Na nyie mnazo sema bado ndo mnajipanga .unakumbuka msemo wako 'ukiwa na hela unajilia kiulainiiii'š
ndo kinachowabeba hawa wazee
EwaahWanahisi wanawake wote ni gold diggersš