Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Yeah sureAfu waga sio myaji mkubwa, unaweka hata na maandazi[emoji120]
Kuna zile cupcakes
Zile zinatoka sana.
Shida ni hivyo vifaa nimetaja
Oven na mixer.
Vikiwepo hivyo tayari kazi imekwisha.