Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nataka dear , tucheze harusi sie
Mjep please tutoe nishai kwa Coca
@Mjep toa haraka ratiba ya harusi, ndugu zangu wako wima wima kucheza kwaitoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie nimechambwa pm na baby eti niache umalaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅 muambie anagongewa kama kauwaaaa.. na haina makombo wala harama.. huwa ina oshwaa tu na kupakwa ndimu rimaoo inarudi kuwaaa piruuu nae anapewaa
 
@Mjep toa haraka ratiba ya harusi, ndugu zangu wako wima wima kucheza kwaitoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo redeeeee
Ukumbi ni pale Mlimani city au Mbezi kwa rafia .
 
  • Thanks
Reactions: 511
inaweza tokea emergency [emoji1787][emoji1787][emoji1787] itabidi kabisaa ninywe vikombe sita vya mdinda dinda ili lolote litalo tokea.. basi iwe fresh vikombe vyako viwili, vya cocastic viwili na Cute Wife viwili [emoji28][emoji28][emoji28] maisha kusaidiana
Wee mie naenda kwa Mjep wanguuu, naenda kumpaa yotreeeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom