HamgombaniAku usinigombanishe na udugu wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sera zetu π Panga mkononiKidumu chama cha wezi
Ndio Kila mmoja apambane na sonona zake udugu sio kuvamia wengine!!Wote tuna sonona jf ndio pa kuzimalizia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona ishazidi hapo[emoji1787][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenzio tushazoeaaa mbna.Udugu ngoja nijaribu nione [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wallahi nikinyimwa nitacheka mpk nijikojolee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeh nimehamia kwako ππWee usiniambie umehamia kwangu
Baby Yoda anamiliki mtutu kuwa makini sana, na ana wivu sana.
Vocha tayariMie vochaa tyuuh, nipo hapa nasubiriiii.
Ndio Kila mmoja apambane na sonona zake udugu sio kuvamia wengine!!
Yani Humu niseme watu tunachekesha sana kuna Vitu ukijiuliza unabaki kujichekea tu mwenyewe!!
Watu wanavurugwa namambo yao hukoo wanakuja kudiss wadiowahusu humuu basi Mie nikiwaangalia mbavuuu Sinaaaa![emoji4]!!
Sema nini tuishi humohumo tyuu mbivu na mbichi zitajionesha zenyewe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chachukaa taratibuu naweeeWatu mna siri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee kumbe vocha zipo humu za kushanta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeehVina muda basi[emoji19]
Uliskuli naye IST au Georgetown Univ pale Washington?Classmate anazingua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh
Ahsanteeeee laaziz, mahabhubhaaaaaaVocha tayari
Sema kingine
πππWatu mna siri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee kumbe vocha zipo humu za kushanta
Haswaaaa πSera zetu π Panga mkononi
πRoho begani
Hamgombani
Kama sisi tusivyogombana si unaona alivyo tupanga na tumepangika
Tulia hapa shem darling
Shem kama shem