Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,301
- 9,809
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogo wanataka kuniua hawakufanya pepa wiki 3 sio poa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogo wanataka kuniua hawakufanya pepa wiki 3 sio poa[emoji23]
Mwee koni ko utakundonda?Panandi mukamu ngweshela!
Nilikumiss Mukamu [emoji3526]
Nawe pia Uduguuu!!!Uduguu nakuombea Kwa Allah
Yaani sijui hata mama mwenye nyumba anafananiaje[emoji23]Ukute mtu unaishi kwenu au kwa ndugu afu inaingia hii text, mie naweza chekaa had nipaliwee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utapelii umevuka viwangooo.
Mnafiki kinyama😂🤣🤣Huyu dgo anajikuta lecture [emoji23][emoji23][emo
mi nilikimbia aisee😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogo wanataka kuniua hawa
Tapeli huyoo, ukijichanganya kutuma ndo imeenda😂🤣🤣Yaani sijui hata mama mwenye nyumba anafananiaje[emoji23]
Nimecheka sana
Sijui nimpigie[emoji38]
Nimsikie anavyogombeza mpangaji[emoji23]
Hakuna chama bill katibu😂🤣🤣Hata mm utanifukuza bahili Hana rafiki
Huo ukatibu hapanaHakuna chama bill katibu😂🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpigieee kabisaa, uchekee hadi baas.Yaani sijui hata mama mwenye nyumba anafananiaje[emoji23]
Nimecheka sana
Sijui nimpigie[emoji38]
Nimsikie anavyogombeza mpangaji[emoji23]
Haya una taka Nini🤔Huo ukatibu hapana
Dawa ni mkuu WA mkoa avamie na polisi 😂😂Muache asome
Muache asome
Hao huwa Ni matapeli, wanatuma hivyo ili waking wajae🤣😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpigieee kabisaa, uchekee hadi baas.
Ila watu jamanii, ndo ugumu wa life enyewee.
Mweka hazina wenu😀😀Haya una taka Nini🤔
Kumbe una taka nikamatwe😪😪Dawa ni mkuu WA mkoa avamie na polisi 😂😂
Namba unayo piga haipatikani, Kama vipi jaribu mwakani😂🤣🤣 AaliyyahMweka hazina wenu😀😀
Teh teh mm nakomaa nao mwanangu [emoji23][emoji23]mi nilikimbia aisee[emoji23]
Kwanza kuna siku huyu dgo kanitukanaMnafiki kinyama[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ngukulonda nkamu ukulinda kupija pija [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwee koni ko utakundonda?
Kungubhona she ukughenda kuno na kuno.