Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
Nimewasikia 😄😄
Nimewasikia 😄😄
Usiajeleeeee shangazi kipenzi 😊😊 Mtoto marina kanizimia vibayaaa yani anataka nipa na mahela tuishi pamokooo huko BOA abidjan ...Mie nilifeliiigii kingreza mjombaa nitasfiriee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😊!
Ndio naingia hapaDepal Njoo ofisini....View attachment 2662870
🎶Geuka mbele tuone chifesi inavoupendezaa zaidi!!🤩
nione mkia wa kondooo 😅😅😅kwako Aaliyyah 😊
SahihiNimewasikia 😄😄
🤣🤣Prawns I guess
Wadudu watamu sana hawa
Hongera mama…naona ulikuwa unakula maisha..👊👊
Labda wa mbuzi 😂😂😂nione mkia wa kondooo 😅😅😅
Kumbe ningeyajulia wapi haya si huku tunatumia magari ya ng'ombe 😀😀Kigari kidunchu
😂😂😂DahRangi ya mtume
Hyo lodge naijua
hata wa mbuzi nao mkia ebu tuoneLabda wa mbuzi 😂😂😂
Ningepata wa kondoo kudadeki
Irudie tuoneHahaaa
Tatizo wa kunipiga picha hakuna
Ipo juu huko Moja tu
Kalete chap mkuuHahaha mkuu unaishi wapi? Isamilo ama masaki
ngoja niingie stoo kutafuta Kapicha ka kirikuu😂😂😂
Itafute bana🤣Irudie tuone
Kaka si yupo?
🤣🤣Nimewasikia 😄😄
Haka katoto umekatoa wapi?Hii nyingine 🤣🤣
Hii nyingine [emoji1787][emoji1787]