Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,743
- 6,283
Unataka uzifanyie nini selfie za watu wee😀😀😀mkiwa mnaselfika msifute haraka bana😂
Unataka uzifanyie nini selfie za watu wee😀😀😀mkiwa mnaselfika msifute haraka bana😂
siko hivyo rafki yangu wewe umemaanisha😂Unataka uzifanyie nini selfie za watu wee😀😀😀
Akuu nimeuliza tuu mie😀😀😀😀siko hivyo rafki yangu wewe umemaanisha😂
najua unadhani nazivutia hisia😬Akuu nimeuliza tuu mie😀😀😀😀
Ayo mambo yako na dronedrake 😂😂😂😂najua unadhani nazivutia hisia😬
NAKAZIAmkiwa mnaselfika msifute haraka bana😂
Vijana bwana, naona umepaka yale madubwasha ya akina mama kwenye macho/kope za macho. Aiseeeee.
Apo ulikua unajiona kama 2pc weee😂😂😂
Kuna wengine wamezaliwa ivo mkuu😀😀😀😀Vijana bwana, naona umepaka yale madubwasha ya akina mama kwenye macho/kope za macho. Aiseeeee.
form 3 hiyo unajiona superstar yaani😂Apo ulikua unajiona kama 2pc weee😂😂😂
Nomaa sanaaaform 3 hiyo unajiona superstar yaani😂
Hiyo ni lifetime experience aisee..nimeshapanda mara mbili alooo..🤸♀️🤸♀️🤸♀️Air balloon jamani 🥰 kabla sijazeeka lazima nilirushe.
Dec nitakukuta hapo 😄😄
Ina semekana Ali kufa bikra😂🤣Hakuoa na yeye au nn ??
Kwanini unasema na kujishtukia hivyo?wala hata😂
dah, ndo maana naogopaga kuweka picha humu..... mtasema upinde
Nakumbuka. Nilichukua tuzo ya mpiga kelele was mda wote😂🤣form 3 hiyo unajiona superstar yaani😂
na bila shaka fimbo ulikula sanaNakumbuka. Nilichukua tuzo ya mpiga kelele was mda wote😂🤣
Issue ya bajaji iliisha salama?Nakumbuka. Nilichukua tuzo ya mpiga kelele was mda wote😂🤣
HeheeIna semekana Ali kufa bikra😂🤣
Sitaki mazoea, kaa mbali.Zamu yangu haijafikaaa, mashoga skeleton ikifikiwaa ntakua winja winja.
Naona Nicoleee amekugusaa penyewee, mnao act ulijari mnalo hilo.
![]()