Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
Kumbee hujaoa mkuu🤔Mwaliko umepata
Wewe si wa kukosa hata ndoa ikiwa ya mkeka
Kumbee hujaoa mkuu🤔Mwaliko umepata
Wewe si wa kukosa hata ndoa ikiwa ya mkeka
AsanteMwaliko umepata
Wewe si wa kukosa hata ndoa ikiwa ya mkeka
Mi nili msikia Mzee wa kupambania, ana sema lips huwa ni 🔥 🔥Hamna aisee hivi mnaenjoy nnn lips 😂😂😂😂
acha bas😂Asante imebidi ni mpigie kwaza maana umenishtuq nampenda sana
Eti loyal😂🤣🤣, kibongo bongo wapo 100 tu
"Born to love" ❤️
Aaliyyah SI ukujee, una ona matusi ninayo pewaa🤔
Wivu unakusumbuaMapenzi ya kiphilipino 😂🤣🤣
Ahaha kisa ww wako umewatelekez kwa bibi yaoSo uje uwakimbie🤔, nitalusaka nikupasuee🤣😂
Mpaka naweweseka usiku
Kwamba niimeonewa huruma au kikubwa anapumua
Mkuu Sina mtoto niliye zalisha katika sayari hi, and even if I do so.Ahaha kisa ww wako umewatelekez kwa bibi yao
hongera bro....Kwamba niimeonewa huruma au kikubwa anapumua
Gud to see you bro, hope uko powa"Born to love" ❤️
Naona dogo anaenjoy holiday tu😊
Weh kumbe 😂😂😂Mi nili msikia Mzee wa kupambania, ana sema lips huwa ni 🔥 🔥
Hii style ya pic ngojea niite nyamaza 😄
Niko poa, its a new week tuendelee kupambanaGud to see you bro, hope uko powa
One among the expensive advice, given for free💪🙏hongera bro....
kumbuka nepi ni ghali kuliko condom.
Grinding 360Niko poa, its a new week tuendelee kupambana