Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Eeh wachache sanaEti loyal😂🤣🤣, kibongo bongo wapo 100 tu
Na wewe je upo kwa kundi hilo ?
Eeh wachache sanaEti loyal😂🤣🤣, kibongo bongo wapo 100 tu
Itapendeza zaidMkuu Sina mtoto niliye zalisha katika sayari hi, and even if I do so.
👉 I will never run away from my responsibilities.
👉Beside IAM single since I was born
Iam single since I was bornEeh wachache sana
Na wewe je upo kwa kundi
Acha ujinga umri unaenda nazeeka ujuehongera bro....
kumbuka nepi ni ghali kuliko condom.
Hongera aiseeIam single since I was born
huyo mtoto unadhani utamlea kwa mihogo??Acha ujinga umri unaenda nazeeka ujue
Yes habari ???
how are you single😬
Huwa najihisi mahusiano Yana niletea u slow flani hivi🤣😂Hongera aisee
Una PHD kwenye usingle
Hehheeee 😂😂😂😂how are you single😬
We Domo zegee🤔, sito kutongozea Kama siku ile ujue🤣😂how are you single😬
Ooh okayHuwa najihisi mahusiano Yana niletea u slow flani hivi🤣😂
nipo friendzone.....We Domo zegee🤔, sito kutongozea Kama siku ile ujue🤣😂
hivi ke anaweza kua na kisingizio chochote cha kua single??😂Hehheeee 😂😂😂😂
Life circumstances
Mambo
Kila Niki isikiliza last last ya burna boy, au single again by konde boy- I appreciate being like this for real🤗Ooh okay
You should give it a try thou
I have been there, i understand being single is no joke ooh .
Eeh why not asiwe nachohivi ke anaweza kua na kisingizio chochote cha kua single??😂
Eeh pole aiseeKila Niki isikiliza last last ya burna boy, au single again by konde boy- I appreciate being like this for real🤗
pointi nzuri....nimechoka kupotezewa muda
Bro watu wako bize na Mambo yao, I know some few ladies.hivi ke anaweza kua na kisingizio chochote cha kua single??😂