Hiv nyie mnawezaje jamni
Ninarafikiyang kipenz kaomba aje nikae nae 2 days anadai kichwa hakiko sawa anatka utulivu atulize akili mapenz yanamuendesha had huruma
namuhurumia
Ndo maana wiki hii nimeamua kuwa happy always mgeni akija nisimuongezee simanzi moyoni,kwakweli muwe mnatupa darasa wadogozenu Hali si shwari Vijana Hawa wataua wenzao